D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
wamekulipa shingapi kufanya promoTatu mzuka sio janjajanja ni kweli kabisaa, nilicheza nanikashinda. Pesa yangu ilitumwa papo hapo.
Mnajuana kwa vilemba, kama uko dar sawaTatu mzuka sio janjajanja ni kweli kabisaa, nilicheza nanikashinda. Pesa yangu ilitumwa papo hapo.
Sijalipwa hata mia zaid ya mara 200 ya 3000 nilokua nimewekawamekulipa shingapi kufanya promo
Sio buku 3000×200(toa vat 18%Mnajuana kwa vilemba, kama uko dar sawa
Nahisi ulishinda buku au sio
Sahihi ni"jinsi ya kuliwa pesa kwenye tatu mzuka"Habari zenu wandugu,
Tafadhali naomba nifahamishwe jinsi ya kushiriki kwenye tatu mzuka.
Kwa maana baada ya kuandika namba ya kumbukumbu unaandika WEB au ITV, na je ukiisha andika namba ya kumbukumbu unaacha nafasi ndo hilo neno WEB au ITV linafuata au huachi nafasi?
Ni hayo tu, karibuni wadau
hakunaga hio kitu ya kushinda hao watuYaani mpaka 2025,tutaona na kusikia mengi.
Eh,nyie hizo million 60 mnazitoa wapi za kumpa mtu,na kama wameshinda watu 20 je?