Jishindie mtaji wa Milioni 10

Jishindie mtaji wa Milioni 10

Putenga

Member
Joined
May 1, 2019
Posts
41
Reaction score
25
JISHINDIE MTAJI WA MILIONI 10.
Mtanzania aliyekataa mshahara wa milioni 400 Marekani (na mwanzilishi wa kampuni ya NALA) anatoa mtaji wa MILIONI 10 kwa mtu yeyote anayetaka kuanza ama kukuza biashara yake kupitia shindano la Mama Kasema: Kujifunza Ni Mtaji

Ili kushiriki unatakiwa kufanya hivi:
Hatua ya 1 - Andaa business plan yako.
Kisha fungua link hii www.nala.money/mamakasema click SUBMIT BUSINESS PLAN kwenye section A, hapo utatuma business plan yako ambapo tayari wamekurahisishia jinsi ya kuiandika, hivyo utajaza form iliyopo.
Hatua ya 2 - Interview watumiaji 10 wa NALA, kusanya maoni yao ya jinsi ya kuboresha huduma za NALA, kisha bonyeza SUBMIT FEEDBACK kwenye section B kujaza na kuwasilisha maoni ya watumaji wa NALA.
Kufahamu zaidi kuhusu shindano hili tafadhali tembelea www.nala.money/mamakasema

 
Back
Top Bottom