EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Hakyananii mimi kabisaa tena niende usiku hahahahaNaskia hofu yao kubwa wanawake wakiwa chooni wanahisi ipo siku nyoka atatoka kwenye shimo la choo na kuwagonga ukeni.
Naona upo katika harakati za kuendana na ID yako
ID yake chizi maarifa
Walah kila mtu na azae tu.
Haya mayai mengine yakibaki tumboni waweza pata kansa ya kizazi.
Naskia hofu yao kubwa wanawake wakiwa chooni wanahisi ipo siku nyoka atatoka kwenye shimo la choo na kuwagonga ukeni.