GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Miaka ya sitini, miaka ya sabini na miaka ya themanini vijana walikuwa wanahudumia wazee na watoto. Hali haiko hivyo sasa. Kwa sasa, wazee ndio wanahudumia vijana na watoto wao" - @mwigulunchemba1
Chanzo: EastAfricaRadio
Nijuavyo ni kwamba hakuna Kijana ambaye anapenda Kutowajali Wazazi au kuwa na Maisha mliyonayo nyie ambao wengi Wenu tuna Historia zenu kuwa mpo hivyo kwa Kutesa Watu, Kuiba, Kufisadi, Kutoa Sara Makafara, Kudhulumu na kuwa Washirikina na Mafia wakubwa.
Wekeni Sera za Kutosha za Kiuchumi, ondoeni 'Privileges' zenu hasa huko Serikalini mliko, zihimizeni Benki ziache Kukomoa Wakopaji kwa kuwapa 'Interests' za Kuwaumiza, punguzeni Bei za Pembejeo za Kilimo, Imarisheni Misingi sahihi ya Kiuchumi kisha oneni kama kuna Kijana ambaye kamwe hatokuwa na Maendeleo au hatoweza Kuwasaidia ( Kuwajali ) Wazazi / Walezi wake.
Wapuuzi wakubwa nyie!!!!!!