Jitambue: Herufi ya Kwanza ya First Name Yako Na Uhusiano na Tabia Yako Ya Sex

jina langu kwa English ni "C"
>HERUFI C
>Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,

kwa kiswahili"S"
>HERUFI S
>Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani

nililo tungiwa "A"
>HERUFI A
>Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda.



mmmmmhhhhhh nimejichanganya mwenyewe lol
 
oooppss noo my dear...shukran katika yote uliosema ni yenye kumbusho la allah na dini yake hukufanya kosa...ni sehem katika maisha kukumbushana pindi mmojawapo atakapokosea na mi pia hilo nalijua na sikuamini ila nimechukulia ni jokes... na mi pia nisameh kama nilikuudhi..😛opcorn:
 
Haya majina ni haya tunayotumia humu au yapi maana kama ni hivyo ndio utabiri wa kiongo majina ya humu kila mtu na maana yake na huo wa majina nao kivyake? Mimi sikubaliani na haya majina maana kuna watu tunawaona majina tofauti na mambo yao.
 

Na wenye majina mawili inakuawaje? Anaangalia la kwanza au la pili?
 
Nilikua na mpenzi herufi zetu za mwanzo zafanana lkn tabia tofauti!
Labda ungetuambia mapema kuwa hazifanani kwa wote.
 

Hakuna ukweli wowote. Je, ukiwa na majina mawili yanayoanza na herufi tofauti je? Kuna watu wanazaliwa na kupewa majina ya ukoo (siyo surname) siku ya kuzaliwa, na siku chache baadaye, hupewa majina ya dini-je, majina yanayo apply hapa ni yapi?

Kwa vile kila mtu anaweza kuwa na tabia zote,kuanzia upole hadi kuwa na hasira, na kwa vile kila mtu hupenda kuonekana anazo, basi kila uangaliapo herufi ya kwanza ya jina lako utaona kuwa kuna ukweli. Lakini, hebu jaribu kujilinganisha na herufi nyingine!
 
>HERUFI L
>Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,

Nitegmee ajali nyingine tena?:twitch::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Leo nimemkumbuka sana aliyekua gwiji wa elimu ya unajimu A. Mashariki na kati Hayati Shekhe Yahaha Hussein ambaye katika uhai wake alishawahi kuzungumzia habari ya mahusiano ya herifu ya mwanzo katika jina na mafanikio ya kimaisha. Katika kiswahili na kingereza kuna herufi 26 lakini alizitaja herufi kuu 12 ambazo zina mahusiano na mafanikio endapo tu herufi hizo zitakaa mwanzoni mwa jina, herufu zenyewe ni A, B, F, J, K, L, M, N, O, R, S na W.

Alitoa mifano ya watu wengi duniani ambao herufu za mwanzo za majina yao (lazima yawe mawili au kuendelea na si moja) zinaanza na herufi moja yao kati ya hizo. Eg,

1. Jakaya Mrisho Kikwete (J, K na M)

2. Julius Kambarage Nyerere (J, K na N)

3. Ally Hassan Mwinyi (A na M)

4. Abeid Amani Karume (A, A na K)

5. Benjamin William Mkapa (B, W na M)

6. Rashid Mfaume Kawawa (R, M na K)

7. Wilbrod Peter Slaa (W na S)

8. Freeman Alkael Mbowe (F, A na M)

9. Abraham Lincolin (A na L)

10. John Kennedy (J na K)

11. Juma Kassim Nature (J, K na N)

12. Juma Kasseja (J na K)

13. Nancy Sumari (N na S)

14. Wema Sepetu (W na S)

15. Raila Odina (R na O)

16. Reginald Mengi (R na M)

17. Robert Mugabe (R na M)

18. Steven Kanumba (S na K)

19. Nape Moses Nnauye (N na M)

20. Barack Obama (B na O)

Embu tumuenzi kwa kuongeza idadi ya majina ya watu wenye mafanikio ama maarufu kwa kutumia ukokotozi huu wa herufi.
 
mimi mbona majina yangu halisi yote matatu herufi zake zipo ndani ya hizo herufi ulizoweka.....lakini nimefulia mbaya kabisa....,,,wapi nimekosea....?
 
Achana na imani za kijinga. Hakuna uhusiano wa aina yoyote, juhudi zako zitakupa mafanikio.

Kuna watu wengi nawafahamu huku mtaani kwetu wanaanzwa na herufi hizo ila maisha yao magumu.


UMASKINI MBAYA!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…