Jitambue: Herufi ya Kwanza ya First Name Yako Na Uhusiano na Tabia Yako Ya Sex

Umaskini na mawazo mgando huwa unamfanya mtu asifanye kazi na kukaa akiwaza na kutegemea bahati. Mafanikio kwenye maisha hayaji kwa accident au utabili! Work hard!
 
mimi mbona majina yangu halisi yote matatu herufi zake zipo ndani ya hizo herufi ulizoweka.....lakini nimefulia mbaya kabisa....,,,wapi nimekosea....?

Teh! Teh! Tatizo mganga mwenye ameshakufa akajibu hoja yako
 
Yahya Hussein (Y H) Hayamo lakini Alikuwa Juu kwa Kuuza Majini White House
 
mimi mbona majina yangu halisi yote matatu herufi zake zipo ndani ya hizo herufi ulizoweka.....lakini nimefulia mbaya kabisa....,,,wapi nimekosea....?

akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako
 


wizi mtupu, kwenda huko na ujinga wa 'marehemu'
 
Heri ya Mwaka mpya 2012 wana JF.Tokea nimeanza mambo ya mausiano ya kima penzi nimebaatika kuwa wengi kiasi,ila kwa kipindi cha mfululizo hadi sasa nimekua na wapenzi wanne na majina yao yanaanzia na herufi B`nia Beatres wawili na Bahati wawili.Je hi inawezakua na maana yeyote? Naombeni msaada.
 
Hata visivyo na maana vinalazimishiwa maana.

Ukijua nijuze, mi nataka kujua kwanini siwezi kuchungulia ndani ya pua yangu bila kioo.
 
hongera kwa kubahatika kuwa na wapenzi wengi kiasi

kuwa na akina -B wanne kunamaanisha inabidi uwe na akina -C sita, D watano, E saba na akina-F kumi!
 
duh, mna mambo
tafuta utabiri google
herufi za mwanzo za majina na tabia zao

ukimaliza tafuta nyota za miezi walizozaliwa

afu tafuta tabia za wanawake za makabila wanayotoka

afu tafuta tabia zao kwa kuangalia shape za nyuso zao eg duara, nyembamba, oval etc

afu tafuta tabia zao kwa kuangalia mistari kwenye mikono yao

labda utapata unachotaka kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…