Jitambue: Herufi ya Kwanza ya First Name Yako Na Uhusiano na Tabia Yako Ya Sex

Mh kaazi kweli kweli. Chagua mmoja kati yao then utulie kijana dunia ngumu na hili li Ukimwi.com
 
Sasa unataka msaada gani? Tafsiri ya majina hayo au?
 

Kuna dada namfahamu anaitwa Bahati anapenda sana chapaa na mwngne Biasna nae vivo hivyo.Beatrice ninasoma nae yeye huyu hupenda kuangalia wanaume wa chapaa.Ni hitimisho ju ya majina ya B'
 
hao ni kat ya mabinti wazuri sana...nna wangu anaitwa Bertha...ni mwaka wa 3 sasa no stress
 
hongera kwa kubahatika kuwa na wapenzi wengi kiasi

kuwa na akina -B wanne kunamaanisha inabidi uwe na akina -C sita, D watano, E saba na akina-F kumi!
Lakin hajauliza anatakiwa kufanya nni,,cha zaid alitaka kujua kupata wadada wenye majna mfuluiza B''ina maana yyote mbaya au nzuri????sawa aisee
 
Hata visivyo na maana vinalazimishiwa maana.

Ukijua nijuze, mi nataka kujua kwanini siwezi kuchungulia ndani ya pua yangu bila kioo.

JIBU: Ni kwa sababu ndani ya pua kuna giza, kwa hiyo bila mwanga huweziona ndani.
 






jaribu kuendeleza series kwanza uone labda unaweza kukutana na some changes ukifikia wa kumi na kuendelea!!!
unaodhani wanakusifia kwa upuuzi wowote uufanyao wanakushangaa pia
 
nilipoona kichwa cha habari nikadhani anataka kutusimanga sie kina Bishanga !
 

Acha mawazo ya ushirikina, just coincidence!!!
 
Naona unataka kuturingishia ili 2jue una mademu kibao.
 
hiyo B nadhani mana yake utakufa ukiwa unapiga Bao. Nadhani watabiri hapo watanisaidia. Ushauri ni kwamba punguza ngono kwani kadri utakavyoendelea kupiga piga Bao unaongeza chance ya wewe kufa haraka.

happy new year.
 
Mtabiri wa hayo mambo yako ya B keshakufa,sheikh yahya
 
Hadi wew unatudanganya maana sijawai kukuona na manz,kweli jf imeishiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…