Jitambue: Herufi ya Kwanza ya First Name Yako Na Uhusiano na Tabia Yako Ya Sex

Kwahiyo nikikaa kwenye chumba chenye giza kioo changu kitaakisi mwanga?

Kila mwanga unatokana na power kama hicho kioo kitakua na hiyo power basi mwanga utakuja!!
 
Siitaji tafsiri,nimeisi inaweza kua na maana ,kwa nini iwe B tu
 
Unamaana inabidi ni waache hao sio waaminfu sio.nitafanya hivyo
 
Kuna ukweli kiasi kikubwa kwa upande wangu: F. Sijui ni kwa sababu pasipo utashi wangu najaribu kuilazimisha saikolojia yangu kukubali kuwa nina match na sifa zilizotolewa katika category F.
 
Shakespears aliwahi kusema..."Our fate is not within the stars of statistics but within ourselves". Kwanini niamini kwenye unajimu na nyota nikaacha kuamini mambo yakunijenga ili niweze kuwa na formidable forces? Maana yote yanategemea muhusika anataka nini
 
Hivi zina ukweli?
Yaani kuna sehemu zimenilenga kabisa lol
 
Nadhani kadiri maelezo yanavyokuwa marefu, chembe za ukweli zinaanza kuhisiwa, lakini kwa wale wa G na J ni uongo asilimia 100
 
Hih idia imecontain % ngapi? Maana siamini kama ni 100% but its below that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…