Jitambue na jithamini

Mozz_Elly

New Member
Joined
Apr 3, 2021
Posts
4
Reaction score
9
Jitabue na jithamini,

Kwa hali ya kawaida tu unaweza usielewe namanisha nn lakini kumbuka ya kuwa Mungu alivyo kuumba wewe tofauti kabsa na mtu yoyote hapa dunia hii inamaana gani Mungu ameweka kipawa ndani yako cha kipekee sana kabisa yaani hicho kipawa kama utabahatika kukijua hakika maisha yako yatakuwa tofauti kabsa na ulivyo amini nakuambia yaana ww kipawa chako hicho ndo Mungu alichokuwekea wewe ili uwe tofauti na mtu mwingine yeyote ndani ya hii dunia.

Hawezi ukafanya chochote ambacho Mungu hajakuwekea na kikabadilisha maisha yako bali utapata changamoto nyingi sana tena sana tu koo yapaswa kutambua kile kipawa chako ili ufanye kile Mungu amekusudia wewe kukufanya hapa dunia ndo maana ya kujitambua na kujithamini wewe sio kama mimi na mimi sio kama wewe.

Nakusihi sana kama utapata bahati au neema yakujua kipawa chako au kusundi lako amini kwenye hicho pia weka juhundi kwa kile anachokiamini hakika wewe hutokuwa hivyo wala hutobaki kama ilivyo amini pia kuamini.

Imeandikwa na:

Mozz Elly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…