onlinenauza
Member
- Oct 8, 2016
- 39
- 57
Jiti hilo alilolishikilia mrefu akiwa anaimba jukwaan haijajulikana sababu ya msingi ya kulishikilia hivyo limeibua maswali ambayo hayana majibu hivyo limezua gumzo nchini south africa na hisia tofaut wengi wakihusisha na iman za kishirikina.
Alipotafutwa mtu wa team yake alisema tu jiti limesaidia kuongeza mvuto bila kufafanua huku akicheka kwa furaha.
Monica strach mkaazi wa pretoria alisema alilazimika kuacha kutazama show na kua makin na jiti hilo lilimkwangua sehem ya juu ya jicho mara mbili...
Ali kiba alipanda jukwaan akiwa na jiti kubwa linaloogofya huku akiliweka nyuma na yeye nyuma huku akikata mauno kama feni bovu kwenda kushoto kulia bila kujali usalama wa watazamaji
My take kulikua hamana haja ya kubeba lijiti kama unaenda kuua nyoka ile ni burudani na uchawi hauvuki bahari sehem nyingine wered laxima utumike