Jiti alilobeba Ali Kiba lataka kumtoboa machoshabiki tuzo za MTV

onlinenauza

Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
39
Reaction score
57
Jiti hilo alilolishikilia mrefu akiwa anaimba jukwaan haijajulikana sababu ya msingi ya kulishikilia hivyo limeibua maswali ambayo hayana majibu hivyo limezua gumzo nchini south africa na hisia tofaut wengi wakihusisha na iman za kishirikina.

Alipotafutwa mtu wa team yake alisema tu jiti limesaidia kuongeza mvuto bila kufafanua huku akicheka kwa furaha.
Monica strach mkaazi wa pretoria alisema alilazimika kuacha kutazama show na kua makin na jiti hilo lilimkwangua sehem ya juu ya jicho mara mbili...

Ali kiba alipanda jukwaan akiwa na jiti kubwa linaloogofya huku akiliweka nyuma na yeye nyuma huku akikata mauno kama feni bovu kwenda kushoto kulia bila kujali usalama wa watazamaji

My take kulikua hamana haja ya kubeba lijiti kama unaenda kuua nyoka ile ni burudani na uchawi hauvuki bahari sehem nyingine wered laxima utumike
 
Alikiba mzalendo ona kiti kina bendera ya tz
Sio Uzalendo,

impression yake ni kuwa yeye ndio "Mfalme" wa Music Tanzania.

Naskiaga eti siku hizi kuna"TEAM bla bla" Vs Team bla bla.

Kwa hiyo yeye kuvaa hivyo anaamini tayari ni "King"
 
Ule utafiti wa 1:4 uko sahihi sana.
Halafu kuwa na chuki hivi plus kutunga maneno kunasaidia nini?
Mkuu nasikia sasa hivi ni 2:4 .updated informationπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kukata mauno ka panga boi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…