Nyie mnanichekesha Jiti kwa jili ya kumtoboa Salam akigusa tena MIC....haaa haaa haa Mnampaisha tu Salam Hawezi Fanya ujinga huo..anyway Najua Watu walishaelewa Ufafanuzi wa Salam.Zamani Nilikuwa napempenda saaana Kiba but Baada ya kuanza Drama zake hapana nikahamua kwa Baba Tee Maana Ni msikivu mpole anaelewa hana majivuno.Aisee Kumbe malezi ya mama pekee sometimes yanasaidia sana.Diamond nilimsikia akiwa Clouds akimuombea Kiba kwa wapenzi wote wampigue kura bila kujari kitendo cha Watu wa Kiba Siku zile kumzomea..Yaani kama M nataka Mond akate Tamaa Yaani Ndo mnamuongezea Nguvu(in Proff Ndalichako's Voice.