backbenchers
New Member
- May 9, 2024
- 1
- 1
Habari Wana Jamii forum, nitumaini langu wote mnaosoma hii post muwazima.
Ni kwa uchungu mwingi nawaleteeni discussion ya maovu mengi yanayofichwa nakusokomezwa chini ya jamvi yanayofanywa na baadhi ya watendaji wa kata na wasimamizi wa serikali za mitaa. Siku hizi tumekuwa tukiona vimbwanga na vituko vingi vinavyotokea mitaani mwetu, ila mara nyingi vikifika kwa wenye viti wa mitaa au ofisi za Kata basi mara kesi au malalamiko au kesi hupotea kwasababu ya wahusika kupokea hongo.
Ninavyoandika post hii, mtaa ninaoishi Kuna kesi ya uvamizi wa eneo la wazi inayoendelea kati ya wakazi wanaomlalamikia mfanyabiasha ambaye amevamia eneo la wazi kimabavu. Kuanzia mwenyekiti wa mtaa hadi mtendaji wa mtaa na mtendaji wa kata wanalijua hili, ila hamna kinacho tendeka.
Mkurugenzi wa manispaa mwenyewe Yuko kimya. Huu mtafaruku unaingiza mwaka wa 2 sasa, na hakuna la maana linalotendeka juu ya uvamizi uliofanywa na mfanyabiashara huyo.
Miaka ya karibuni tumezidi kuona maeneo ya wazi yakivamiwa nakuibwa kijanja janja na baadhi ya watu kwenye jamii zetu, na watu Hawa wamekuwa wakiwezeshwa na baadhi ya wenye viti wa mitaa, baadhi ya watendaji wa kata, na baadhi ya madiwani walio na ubinafsi wakuendekeza matumbo Yao, bila kuangalia maslahi ya jamii yakitanzania.
Soma Pia: Migogoro mingi ya ardhi inasababishwa na Madiwani na Wenyeviti wa mitaa
Inauma sana Mimi Mtanzania naona sehemu nayoamin kuwa ntapata msaada ila chakusikitisha nikwamba wahusika hawatake responsibility yakufanya kazi zao ipasavyo. Watanzania wenzangu nawahimiza tuamke, propaganda za "TUMBO LANGU KWANZA" tuzipige vita
BackBencher