Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mpe contacts hizo KiongoziNina hausigeli wangu kanimbia nimtafutie bwana, umri wake 21 ana diploma ya cookery
Asante.Tupo pamoja MkuuAmiku mzee wa visK!karibu sana mkuu!
Utajua tukiwasiliana. Soma vizuri bandiko languSijaelewa vizuri sana lengo lako!
Nimesoma tena, ila bdo, unataka mtu wa kubadilishana naye mawazo tu? Rafiki? Mke? Au mawazo ya kibiashara ili muishi vizuri hapa mjini?Utajua tukiwasiliana. Soma vizuri bandiko langu
Cha kwanza na cha piliNimesoma tena, ila bdo, unataka mtu wa kubadilishana naye mawazo tu? Rafiki? Mke? Au mawazo ya kibiashara ili muishi vizuri hapa mjini?
Aaah sasa nimekuelewaCha kwanza na cha pili
Chukua hatuaAaah sasa nimekuelewa