Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitu Soni ametangazwa mshindi na tume ya uchaguzi, kwa kupata kura 32,477, dhidi ya Laurent Tara wa NCCR kwa tofauti ya kura 500, ( simple victory).
who is jitu soni na ni jimbo gani
Sasa jamani muwe mnaweka chama na Jimbo
hiyo taito imeeditiwa haikua hivyoKaka iko kwenye title...Babati vijijini sasa kama alishinda kura nyingi hivyo why take 3 days to announce?
:smile-big: Ruta, je hawajagoma tena YARUDIWE???ITV imeripoti hivi sasa hivi ya kuwa hesabu za kujumlisha kura bado ccm kidedea kwa mtiririko wa kura kama ifuatavyo:-
a) CCM............32, 777
b) NCCR-MAGEUZI.......31, 635
c) APTT Maendeleo (?) .........90