bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Jamani haya mambo mengine hata hayafai kuzungumziwa hapa. Hivi huyu mzee mzima munamuadhirisha namna hii maana yake nini? Kama amepitikiwa kama mwanadamu mwengine ndiyo mumuadhirishe namna hii?
Bwana Moderator tafadhali ondoa hii, leo yeye kesho anaweza kuwa mzee wako utakubali haya?
kweli maadili yamepungua au kwisha kabisa, mpigapicha badala ya kumwambia afungue kwanza fliz yake ndo apige picha, yeye anapiga ivo ivo!