Mkuu asante kwa kutupa angalizo makiniMwana Jf embu jiulize maswali haya labla ya kukimbilia kukopa mafuba...
1 . Kwanini nimeamua kukopa?
2 . Je! Hakuna njia nyingine mbadala yakufanikisha mpango Huu nje ya mkopo?
3 . Je?Hiki nitachafanya kupitia mkopo, kitaendelea kudumu hata baada ya kurejesha mkopo?
4 . Je! Nitapata faida yoyote kupitia mkopo huu?
5 . Je?Ni njia zipi nitatumia ili kuweza kurejesha mkopo?
6 . Je!Ikitokea nimeshindwa kurejesha mkopo nitafanyaje?
HAYO NI BAADI YA MASWALI UNAYOPASWA KIJIULIZA KABLA HUJACHUKUA MKOPO