Hamis Mushi. Member Joined Jan 16, 2016 Posts 53 Reaction score 38 Mar 23, 2016 #1 Habarini wana JF; Nina swali moja lisemalo, Inachukua muda gani kuondoka kwa jirani punde baada ya kula msosi kwake na ukizingatia mhusika alifika kwa ajili ya msosi!? Attachments IMG-20160323-WA0014.jpg 10.6 KB · Views: 55
Habarini wana JF; Nina swali moja lisemalo, Inachukua muda gani kuondoka kwa jirani punde baada ya kula msosi kwake na ukizingatia mhusika alifika kwa ajili ya msosi!?
Malumbo wa ngullo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,246 Reaction score 11,011 Mar 23, 2016 #2 angalia na wewe jirani yako akija kwako anazuga dakika ngapi baada ya kula ndo aondoke....
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,965 Mar 23, 2016 #3 Cha msingi usiende kula kwa jirani, kama huna majibu ya swali unalojiuliza.