K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Aug 28, 2025 #1 Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka
Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka
BabuFey JF-Expert Member Joined Feb 13, 2023 Posts 2,943 Reaction score 4,707 Aug 28, 2025 #2 Kamundu said: Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka Click to expand... Wote hawa hasa Kalasinga 👇 Attachments FB_IMG_1755429364634.jpg 23.8 KB · Views: 29
Kamundu said: Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka Click to expand... Wote hawa hasa Kalasinga 👇
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 29, 2025 #3 Misamaha ya kodi na gawio za serikali... Hao ndiyo chuma ulete wa pesa za serikali... Cc: Mahondaw
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Aug 29, 2025 #4 Kamundu said: Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka Click to expand... Halafu mazwazwa yanakenua tu kwa kurushiwa T shirts na gagulo zenye picha ya Samia
Kamundu said: Jiulizeni wawekezaji GSM na Rostam kwenye CCM wanapata nini kwenye mtaji wao? Yaani Rais mzima unaruhusu mtu mwenye bandari kavu kukupa pesa halafu TRA watamdai vipi kodi??? Mama na Kikwete bila watanzania kuamka Click to expand... Halafu mazwazwa yanakenua tu kwa kurushiwa T shirts na gagulo zenye picha ya Samia