Hope In Success Club
Member
- Apr 19, 2015
- 7
- 2
JIUNGE NA HOPE NA SUCCESS CLUB (HIP CLUB) KWA MAFANIKIO YAKO
1. UTANGULIZI
HIP Club ni chama cha kijamii kilichoanza kazi zake tarehe 3 Machi 2014 na Kupata usajili kwa mujibu wa sheria ya usajili wa vyama vya kijamii nchini tarehe 31 Machi 2015 kikiwa na Wanchama waanzilishi 14. Na sasa tupo kwenye mchakato wa kutafuta wanachama wapya na tukaona tutoe kipaumbele kwa wana JF ambao wanaamini kutoka katika ummoja na lengo letu ni kutanua network ya watu mbalimbali ambao wanamawazo tofauti katika kufikia maendeleo endelevu ya sasa na baadaye.
2. TASWIRA/MALENGO
Kama iliyoainishwa hapo juu chama hiki ni cha kijamii hivyo malengo yake yamelenga katika makundi makuu mawili ambayo ni ya kiuchumi na kijamii kama yafuatayo:-
i. Makala ya kitambulisho
ii. Mdhamini ambaye ni Mwanachama
iii. Fomu ya kujiunga sh.10,000 na kiingilio sh.30,000
iv. Ada ya Mwaka ni Sh. 10,000
v. Umri kati ya miaka 25 hadi 28
4. MICHANGO YA KILA MWEZI
Kwa kuwa tunadhamini maisha ya sasa na maisha tulivu ya kizazi chako cha badaye. kwa sasa thamani ya mchango wako kwa mwezi ni sh. 20,000 na itabadilika kulingana na makubaliano ya wanachama kwenye kikao mbalimbali vya chama.
5. MAWASILIANO YA CHAMA
Kama kwa sasa UNAISHI DAR ES SALAAM na upo tayari kujiunga nasi piga namba zifuatazo ili uweze pata wadhamini na kujua taratibu za ziada za kuungana nazi.
Na. Jina Uhusika kwa chama Namba ya simu
1 Bahati Sanga Mwenyekiti 0718137090
2 Deogratius Njechele Mweka Hazina 0712026855
3 Issa Gabriel Mwenyekiti Kamati ya Katiba na Kanuni 0752757787
4 Omary Mhando Mwenyekiti Kamati ya Nidhamu 0715699168
5 Nelson Kihongo Kamati ya Miradi na Uwekezaji 0714202135
Aidha, wasilisha malipo yako kupitia benki ya DCB akaunti Namba 0620100000058 Jina la Akaunti ni HOPE IN SUCCESS CLUB tawi la Upanga
NB. Kwa wana JF tunatoa nafasi kumi (10) tu
Karibu Uungane Nasi Kwa Utulivu Wa Nafsi Ya Sasa Na Baadaye
IMETOLEWA NA KATIBU KWA NIABA YA MWENYEKITI WA CLUB

- Kijamii katika kundi hili, pamoja na Mambo mengine chama kimelenga na kuweka Mikakati ya kuhakikisha wanachama wanafaidika kwa: (i) Kuwaunganisha pamoja Vijana kwa lengo la kuongeza network (ii)Kuendesha semina na mafunzo kwa wanakikudi kuhusu masuala ya ujasiliamali na ufundi stadi (iii) kujiunga na Mfuko ya Bima ya afya ili kuhakikisha wananikundi hawapati changamoto za matibabu (iv) Kusaidiana katika matatizo ya wanakikundi kama kufiwa na maradhi n.k
- Kiuchumi katika kundi hili, pamoja na Mambo mengine chama kimelenga na kuweka Mikakati ya kuhakikisha wanachama wanafaidika kwa: (i) Kuunganisha taasisi zenye malengo ya kufanya ujasiliamali (ii)Kuhakikisha nyenzo za kufanyia ujasiliamali zinapatikana kwa wakati mwafaka (iii) Kubuni, kuanzisha, kuratibu na kuendesha miradi yenye tija kwa wanakikundi (iv) Kuwashawishi wanakikundi kupambana na umasikini (v)Kuhamasisha wanakikundi kujitolea katika shughuli mbalimbali za chama (vi) Kupokea, kuhifadhi, na kufanya matumizi sahihi ya fedha zitakazokusanywa na chama kutoka kwenye vyazo vyake na (vii) Kutafuta masoko yenye tija kwa bidhaa zitakazozalishwa na wanachama.