Mkuu si kweli unachozungumza kulichopo hapo ni kuwa usajili ni kwa umri huo lakini Mwanachama anabaki na uanachama wake na unaridhishwa kwa mtu mweingine inamaana wewe unautumikia, Mwanao etc so si wa miaka mitatu hiyo niyo interval ni kwa ajili ya usajili wa wanachama