Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

Status
Not open for further replies.
🀣🀣🀣🀣🀣,nilikuita uje robot linavyoshushua πŸ˜€
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Daaah nimecheka sana yupo very active ila kwenye uzi wake kule kajikausha kimya..
Anajibu kwa chat gpt
 
🀣🀣🀣🀣,mwenye Uzi kapita hiviπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
Tanesco jau... Na hapo jamaa kashafatwa PM.... πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Habari ndugu kilio,

Tunapenda kukufahamisha kuwa TANESCO haitohusika na kitu chochote kitakacho sababishwa na program hii. ^GK
Sijakuelewa unamaanisha nin? Kazi yangu ni kuuza maarifa niliyofanyiakazi katika hayo mabadiliko. Remember "Innovation starts from the Street". Jifunze hii,Tanzania Revenue Authority (TRA) Kutoka nje ya taasis yao kutafuta mawazo mapya yatakayosaidia kukusanya kodi na kuimarisha mifumo yao, Wao si Wajinga. TRA kuna wafanyakazi zaidi ya 3000 , wa kada mbalimbali na wenye uzoefu. LAKINI wameamua kuja mtaani kutafuta mawazo mapya. Uongozi wa TRA wanajua Mtaani kuna watu maarifa makubwa ila wamekosa oppurtunity. Mtaan kuna watu wenye njaa, watu wenye roho ya Simba, na wenye akili nyingi.

Hata wewe ungetakiwa kuheshimu harakati zangu,We are" Bridge Connector". Kuunganisha Mtaa na maadiko yanayoendelea kwenye taasis mbalimbalii hapa nchiii...
 

Attachments

  • MAMLAK~1.MP4
    14.9 MB
Ana fani ya umeme😁
Sina fani ya umeme, Hila ndiyo sehemu ya hayo mabadiliko kwa miaka 4. Na ndiye aliyekuwa mtanzania pekee kwenye hayo mabadiliko kutoka timu ya contractor na Consultant.. Ujuwe mradi mkubwa kama huo hupo katika nchi yako Code 255, halafu ni mtanzania pekee unaofanyakazi . lazima upate mashaka na uwezo wa watu katika nchi yako ni mdogo. Degree yako ya umeme haiwezi fanyakazi AI-driven innovation in power sector
 

Attachments

  • 1785884812270.jpeg
    64.7 KB · Views: 7
Watu wanasema tanesco kawahi mapema kabla kilio ajawaliza watu
Kazi yetu ni kutoa maarifa. Kujenga daraja.. Mabadiliko hayo nimehusika katika implementation. Nimeona fursa ndani ya mradi. Ila kwa miaka ijayo Taasis za Umma zitaacha kuajiri kwa kutumia vyeti kwasababu hawana mda wa kutrain mtu haendane na mabadiliko kiteknolojia.. Lazima uwe na msingi mzuri wa mabadiliko hayo. Ndiyo tunachofanya.. Kwa mfano wewe unadegree ya Account au procurement, huwezi fanyakazi TANESCO. Teeknolojia wanayoitumia katika kufanyakazi ya procurement ni kubwa unahitaji mda mrefu kuimaster.Nan ana mda huo kukufundisha wewe?, Ndiyo maana ya kuja Training center kama hizi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…