Jiwe anasali wapi sikuhizi?

Wamehamasishana kutumia mitandao kwa sana, naamini watamuuliza na kumwambia kuhusu swali lako.

No longer UTAPATA majibu
Hatuoni tena picha za Jiwe akiwa St Peter’s Jumapili. Au ameamua kubaki na mungu wa mababu zetu? Maana Mungu wa Jacob na Elia anaona kila jambo litendwalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwake chato amejenga kanisa ndani ya nyumba yake, nje pia kajenga bar, pembeni kuna traffic light.
 
We mwanamke siku hizi umekuwa mpumbavu na mpenda sifa.
Kama umeshindwa kumuheshimu Magufuli kama rais basi mheshimu kama mtu mzima aliyekuzidi umri.
 
We mwanamke siku hizi umekuwa mpumbavu na mpenda sifa.
Kama umeshindwa kumuheshimu Magufuli kama rais basi mheshimu kama mtu mzima aliyekuzidi umri.
😁😁😁😁😁😁😁😀h 😂😃 hili ni povu au
 
Hatuoni tena picha za Jiwe akiwa St Peter’s Jumapili. Au ameamua kubaki na mungu wa mababu zetu? Maana Mungu wa Jacob na Elia anaona kila jambo litendwalo.
Anasali kila siku mpaka wapiga picha wamechoka kumpiga picha. Imekua kawaida, sio habari mpya tena. Siku hizi wanampiga picha once a month
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…