sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Naona kina baraka prince, Nay wa mitego na wengine wmetoa kazi zao ila kwa hizi fujo zinazofanywa na WCB, Konde ganf na kiba wasanii wengine wanapata wakati mgumu sana kuvuma.
Rapcha kutoka bongo records alivuma na Lisa ila hii vita ya vigogo ilipoanza katupwa