sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
ana fan base yake kubwa mkuu, madogo wengi sana chini ya 25 wana mwelewa sana, kwa sisi umri ulionda tuna taste tofautiUnakosea Sana kuweka utopolo wa konde humo
Na wewe ukakikubali alichokisema moja kwa mojaJuzi nilikuwa nasikiliza mgahawa ,Babalevo alisema wcb hawapati changamoto kutoka kwa Harmonize ila Alikiba ndo anawatoa jasho
Diamond ametoa hits kibao wakati Chinga boy bado yuko kijijini, na nikiangalia Jeje na Waah zilivyo hits bado nashindwa kuelewa unavuta ganja ya wapi.Konde boy alipokuwa WCB diamond alikuwa anatoa nyimbo kali,inaonekana alikuwa anasaidia na Kondeboy ,lakini Kondeboy alipotoka diamond akaanza kutoa nyimbo za hovyo za mapigo ya Ray Vanny