chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
Daa. Kuna MTU kanambia ni quartsTusubiri wajuzi waje inawezekana umekamatia bingo ndugu
Acha utani mkuuJeyipiemu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Acha utani mkuu
ππππππ mbavu zangu jmnKokoto iyo rushida ulipo itoa nyie ndio mnao rudisha nyuma ujenzi wa taifa[emoji41]
Jiwe walilolikataa waashiWajuvu mambo msaaada hapa jiwe gan hili??
View attachment 940661
Ni jiwe la maingi labda.
Lakini mkuu, nimeona mkono wako una fangas....[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba huo mkono sio wangu kuna njemba iko tabora imepata hayo mawe sasa akapiga picha akanitumia nimuulizie kwa wajuvi Wa mambo kua ni jiwe ganNi jiwe la maingi labda.
Lakini mkuu, nimeona mkono wako una fangas....[emoji30][emoji30][emoji30]
Kidume cha mkoani hichoNi jiwe la maingi labda.
Lakini mkuu, nimeona mkono wako una fangas....[emoji30][emoji30][emoji30]