Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Wana ndugu,
kwa muda mrefu nimekuwa nikiitembelea hii forum kama mgeni.
jiwe la kunole nimekuja ,
wenye nyembe butu, misumeno butu, mapanga butu, visu butu, mikasi butu na kila kitu butu,
nimekuja kutia makali.
Asanteni kwa kunikaribisha.
asante sana ndugu yangu.Karibu ndani ya JF, Jisikie upo nyumbani.