Kwenye title umewataja jj mwaka na isaac ndodi. Kwenye thread unazungumziahapa ni nan tabibu wa kwel ambaye tiba yake inaaminika?maana nmetumia dawa za dokta rahabu hazijansaidia pamoja na kuuzwa gharama kubwa
nmemzungumzia rahabu sbab ni tapel.kwa kuwa cjapona nataka nijaribu na hao wengne.mwenye uelewa anifafanulie
Wote hawaaminiki. Maneno mengi tu.
Too good to be true
Hapa ni nani tabibu wa kweli ambaye tiba yake inaaminika? Maana nimetumia dawa za dokta Rahabu hazijansaidia pamoja na kuuzwa gharama kubwa!
Nasikitika kama hili ndilo Jukwaa la Great thinkers. Na nikiri kuwa sijawahi kutibiwa na daktari yoyote kati ya hawa ila:
1. Kitabibu: Ili uainishe tiba ya nani imekusaidia yategemea sana na wewe mgonjwa . Je umejieleza vema matatizo yako? Umetumia dawa kama ulivyoelekezwa , Na unaamini kuwa utapona? . Ni kujishushia heshima ukisema Muhimbili au dokta fulani ni tapeli wakati hujaanisha utapeli huo umetokana na nini. Nafikiri kwa hoja hizi jukwaa hili linaweza kujitofautisha na majukwaa ya udaku na umbea kama facebook . Kwenye hayo maneno mengi unayosema kuwa wanayo, umewahi kukaa chini na kusikiliza na kufanya uchambuzi binafsi kujua kipi cha kweli kipi sicho? au maneno mengi na uelewa mdogo?
2. Unajaribu kufananisha madaktari wawili waliobobea kwenye fani mbili tofauti . Ni dhahiri hata wewe / au mleta mada ni mpotoshaji sana. Daktari bingwa wa wanawake VS general doctor wapi na wapi?
3. Tatu mleta mada anawafanisha madktari wenye fani ya udaktrari na Rahabu ambaye si daktari kifani (yaani hajasomea medicine) ; huwezi kupata mlinganisho sawa . Pia hapa mleta mada amepotoka.
4. Kuna mchangiaji mmoja kakurupuka naye kusema unaumwa nini , njoo kwangu utapona?? seriously? Yani kabla hata hujajua kinachomsibu au kumualika kwenye ushauri na utambuzi wa tatizo lake tushakimbilia na "njoo kwangu".
Nitafute Mimi Mzizimkavu Hauchimbwi Dawa nikutibie upate kupona na utapona.naumwa vidonda vya tumbo na nmeshatumia gharama kubwa lakn cjapona
Nasikitika kama hili ndilo Jukwaa la Great thinkers. Na nikiri kuwa sijawahi kutibiwa na daktari yoyote kati ya hawa ila:
1. Kitabibu: Ili uainishe tiba ya nani imekusaidia yategemea sana na wewe mgonjwa . Je umejieleza vema matatizo yako? Umetumia dawa kama ulivyoelekezwa , Na unaamini kuwa utapona? . Ni kujishushia heshima ukisema Muhimbili au dokta fulani ni tapeli wakati hujaanisha utapeli huo umetokana na nini. Nafikiri kwa hoja hizi jukwaa hili linaweza kujitofautisha na majukwaa ya udaku na umbea kama facebook . Kwenye hayo maneno mengi unayosema kuwa wanayo, umewahi kukaa chini na kusikiliza na kufanya uchambuzi binafsi kujua kipi cha kweli kipi sicho? au maneno mengi na uelewa mdogo?
2. Unajaribu kufananisha madaktari wawili waliobobea kwenye fani mbili tofauti . Ni dhahiri hata wewe / au mleta mada ni mpotoshaji sana. Daktari bingwa wa wanawake VS general doctor wapi na wapi?
3. Tatu mleta mada anawafanisha madktari wenye fani ya udaktrari na Rahabu ambaye si daktari kifani (yaani hajasomea medicine) ; huwezi kupata mlinganisho sawa . Pia hapa mleta mada amepotoka.
4. Kuna mchangiaji mmoja kakurupuka naye kusema unaumwa nini , njoo kwangu utapona?? seriously? Yani kabla hata hujajua kinachomsibu au kumualika kwenye ushauri na utambuzi wa tatizo lake tushakimbilia na "njoo kwangu".
wote hao ni Wababaishaji best kama babu wa loliondo..Hapa ni nani tabibu wa kweli ambaye tiba yake inaaminika? Maana nimetumia dawa za dokta Rahabu hazijansaidia pamoja na kuuzwa gharama kubwa!