JJ Mwaka na Isaac Ndodi, ni nani tiba yake inaaminika zaidi?!

Vidonda vya tumbo vinatibika vizuri tu , sijajua kwa nini hujaenda hospitali za kawaida na kupata vipimo sawia . Mfano muhimbili kuna bingwa physcian Dr Mlawa amesaidia watu wengi wenye ulcers mimi nikiwa mmoja wao. Kumbuka vidonda vya tumbo vipo vya aina nyingi (duodenal peptic, etc) au pengine huna vidonda una gesi tu(gastritic) hivyo ukenda kwahawa kina ndodi watakupa dawa ambazo ni general tu baade hali inarudi kama mwanzo . Kwa mawazo yangu ningekushauri uwaone madaktari upate vipimo na upate dawa
 
Vidonda vya tumbo??? Chemsha mdalasini ujazo WA Lita moja ichemke vizuri kabisa, then Tia asali halisi, changanya waeza pia ongezea na habbat soda, then tumia Kwa mda WA kuanzia week 2 mpaka 4
Kumbuka kutuletea majibu
Wakati WA dozi epuka uvutaji WA sigara na pombe haswa kali...
 
Huyo JJ Mwaka mwaka juzi niliacha 160,000/- yangu kwenye ki-clinic chake uchwara pale Ilala Bungoni na kupona sikupona nikaja kupona kwa dawa niliyonunua tsh4,000/- kwa hawa wachuuzi wa mitaani na niliitumia almost siku5 tu hadi leo tatizo limeisha,Mwaka dawa zake ni nyingi na unakuwa busy zaidi ya mwezi ukinywa dawa.wakati mwengine hawa wanaojitangaza sana ni wababaishaji bora wa mitaani but nako kumeingiliwa huezi'jua tapeli ni yupi na mkweli ni yupi.
 
So true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…