The Golden Mean
Member
- Sep 15, 2008
- 54
- 0
Raisi wetu amealika Ikulu warembo wa Miss EA usiku wa kuamkia leo.
Hii sio mara ya kwanza, huwa siku zote anaalika ma-celeb wa kibongo wamtembelee Ikulu, haina ubaya wowote, ila nnachoshangaa mbona huwa haaliki watu wanaochangia kwenye maendeleo ya taifa letu, kwa mfano watoto waliofaulu, kitaifa au hata kimataifa (kama yule aliyeshinda SADC essay competition) kuonyesha kuwa hao ndio role models wanaotakiwa kufuatwa, yeye ni vitu vya starehe starehe tu.

mmm, hata mi nimeshangaa, hajawahi kufanya nao hafla timu ya taifa ya football, walemavu japo wakati wa sikukuu. huyu kaona warembo tu ale nao vitamu tamu.
Ni lini ataongea na wasomi wetu wa vyuoni ili kujua matatizo yao na kutafuta jinsi ya kukuza elimu Tanzania?
This guy has his priorities backwards!
Jamani tukosoe penye uzito wa mustakabli wa nchi yetu hao Mamiss na celebrities kwenda Ikulu ina ubaya gani? Si ndo ku-enhance intergration jamani? au mi nathani hapa swala liwe wale wanaotafuta agenda na maslahi yao binafsi (Wafanyabiashara)! Kwa mfano hawa wanaoenda kutoa zawadi ndani ya Ikulu! Ikulu ikitoa zawadi ni sawa! isitoshe JK amekuwa akialika hata wanafunzi bora unaosema fuatilia utajua hukusema kweli!
JK anatisha wewe...usifanye mchezo na kile kidume! After all decion amwalike nani asimwalike nani liko kwa anayealika so hili swali hapa sio mahala pake. Mfuate ikuluuuuuuuuuuuu atakujibu au subiri ile forum ya kisanii ya Tido Mhando na Rais umuulize kwa sms au email
kama umesoma thread yangu vizuri, nimesema kabisa kuwa hamna ubaya.
ila kama mchangiaji mmoja alivyosema, this guy has his priorities backwards, as mimi, nadhani pamoja na wengi wetu tunaamini kuwa raisi wa nchi kuwaalika hao washiriki wa urembo hakuliletei tija taifa, na mimi, pia hapa naamini naongea kwa niaba ya wengi, hatuoni umuhimu wa hao warembo kualikwa ikulu, ukizingatia kuwa hilo ni shindano la urembo ambalo haliendi sehemu yeyete zaidi ya hapo mlimani city.
Pia naomba kujua kama keshawatembelea waathirika wa maporomoko Same, nilisikia ametangaza mpango wa kwenda, a month after, sijui keshaenda, au anaentertain mamiss ikulu tu.
afu keshaambiwa awe anapumzika, sasa si afadhali hizo nguvu angekuwa anazisave kutumika kwenye mambo muhimu kitaifa ambayo tumemwajiri na tunamlipa kuyafanya badala ya kufanya haya, afu yakifika mambo ya msingi anaishiwa nguvu.
hamna kumbukumbu au ndio wengine mna chuki binafsi,amealika wengi tu hata timu ya taifa stars alishaialika na mabo mengine mengi ameyafanya huko ikulu ya kuwaalika wanamichezo,hata hasheem thabit alimualika,au hamridhiki mpaka awaalike na nyie na awaalike kwa jambo lipi hasa mlilolifanya labda awaalike na aseme leo nawaalika wale wote wenye chuki binafsi na roho za kwanini pengine mnaweza kwenda kwa njia hiyo.