Admin, kwa nini huyu bwana asifungiwe kwa muda mpaka hapo balaza litakapotangazwa.
Nadhani mtakumbuka baada tu ya kuchaguliwa Urais alilihutubia Bunge..na kusema "tusije tukalaumiana baadae"...Habari nilizozipata zinasema kwenye hiki kikao ameonya na kuaasa wale wote ambao watakaozembea..na amewaambia wizara zao na kuwauliza kama wataweza..na kukazia kuwa kuboronga kazi zao sio tu kutavunja moyo wananchi bali kita icost chama ghalama kubwa sana maana wananchi wanamatumaini makuwa na serikali yao.
TEGENI SIKIO
jamani acheni kujitungia habari humu ndani,hakuna mtu alieitwa ikulu ya chamwino kuwa ameteuliwa kuwa waziri.
Jamani Naombeni Nitamke Nipo Dodoma, Toka Saa 2 Asubuhi Nimekuwa Nazunguka Zunguka Hapa Mjini,nimetumia Mafuta Ya Shiling 17000 Kuzunguka Mjini, Unaweza Ukaimagine Ni Mizunguko Ya Kiasi Gani Nilikuwa Nayo , Yote Hii Ni Katika Kutafuta Habari Hapa Na Pale.lakini Katika Kote Nilikozunguka Sijaona Mtu Yoyote Kuitwa Wala Kuwa Na Kikao.ila Kinachoendelea Hivi Sasa Ni Kuwa Jk Ana Kikao Cha Siri Na Viongozi Wakuu Wa Nchi(sio Mawaziri Wateule). So Namtaka Huyu Bwana Mstahiki Usitupotoshe Kwa Habari Zisizo Za Kweli.iweje Rais Awape Mwongozo Mawaziri Wake Kabla Hata Hajawateua??we Bwana Mstahiki Una Masihala Sana .hichi Kika O Kinafanyikia Wapi?na Saa Ngapi Kilifanyika?acha Mzaa Kabisa Bwana... Hii Jambo Forums Ni Sehemu Ambayo Inaheshimika Sana Hata Kwa Wakubwa Wenyewe
Mstahiki,
Acha Upuuzi, nenda Dar hotwire kajadiliane na wenzako....
FD

Kama hutajali naomba tuonane uso kwa uso .Niko Dodoma pia .Huyu Msitahiki nadhani kachoka tu .