Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.
Mwaka 2005 nafasi nyingi zilikuwa za "kulipa fadhila" mfano: yule zuzu Tom Mwang'onda, Yusuf Makamba, RC Mbeya etc. safari hii uteuzi huu utaonesha kuwa JK ana nia ya kubadirika au ni yule yule tu.
Wakuteuliwa ni Kngunge Ngombale Mwiru (90 yrs), Yusuph Makamba(80 yrs),Said Said Kalembo(80yrs),Samwel Malechela(80yrs),Zakia Meghji(75yrs) na wengineo kwani hapendi vijana
Awamu hii hataki warembo?