JK Akijirusha baada ya kufunga mkutano wa UCHUMI

Hii ndo dunia na ndo maana Wanasiasa wanataka raha hawataki kukosa mambo kama haya!
 
vitu kama hivyo JK NDIO UWANJA WAKE, HAPO ANAKULA MIA KWA MIA
 



Huyu dada anayecheza na Shein ni nani? Maana ni mrembo wa haja!
doh,huyu dada kashafika ikulu?tena binafsi?asante jk,huyu demu hata mimi ningekuwa na uwezo ningefanya hivyo,namkubali sana kwa kila kitu,kweli rais wetu macho yake marefu.
 
thats is his strength.... huyo dada mwenye kipara tayari ameshapata maisha bora kwa kila mtanzania huyo
 
Elsie Kanza, Mrembo ameingia ikulu. Kila la kheri dada, kaza buti
 

Huyo Dada anacheza na sheni sio mchezo umbo kabarikiwa naimani mama sheni atakuwa hakuwepo hapo .Hawa watu wajanja wanamtupia sheni kichinchira kama hicho si kumtafutia matatizo tu na mama watot , any way mwache ajikumbushe ujana
 
Aibu tupu, hasa nchi yako inapokuwa bado inamatatizo na migogoro mengi aliyoisababisha yeye na utawala wake yeye anaselebuka! This is not true bwana? Let us put our hand together na tushikilie kunako ili october awe out of office!
Kama sikosei tayari alikwisha wafanyia cocktail party pale ikulu, kumbe kulikuwa na haya mengine!
 
wahishimiwa wenu wanacheza KIDUKU!!!
Umetaka nicheke sana na umefanikiwa
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden"><input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Zuma kiboko kwa kudua,
Najua tu lazima alifunika ukumbi mzima..

Fidel ile Dance ya Zuma kule bondeni inajulikana kama "UMSHOLOZI" Wakati akiwa rais wa ANC, kabla ya kuwa Presidaa wa South Africa alikuwa akidance sana kwenye mikutano ya wazi, lkn alipochaguliwa kuwa rais wa nchi wadadisi wa mambo wanasema kwa sababu ashakuwa rais wa watu wote alishauliwa asi cheze tena UMSHOLOZI, ili itifaki izangatiwe. All in all kila ninapomuona Zuma nahisi muda wowote anaweza nyanyua mguu wake juu akacheza Umsholozi. Namzimia sana Zuma kwa hilo la kuenzi asili yake.
 

AAAh baaaaaaasi! no doubt huyo ni ongezeko katika listi ya ma pumziko yake, kweli jamaa ni Mkware ooooh samanahi Mkwere
 
Mbona majina kama ya kinyarwanda??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…