B blackpepper JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 381 Reaction score 16 May 13, 2010 #41 Mfukunyuzi thanx kwa hizo habari za ndani za Prezidaa wetu....so ameamua kupamba ofisi..hiyo muhimu ikitokea vijipati kama hivyo anajisevia
Mfukunyuzi thanx kwa hizo habari za ndani za Prezidaa wetu....so ameamua kupamba ofisi..hiyo muhimu ikitokea vijipati kama hivyo anajisevia
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 May 13, 2010 #42 Muungwana ana jinsi ya kufanya kazi na watu wa jinsia hii They wont regret... MAISHA BORA KWA BAADHI YA WATEULE
Muungwana ana jinsi ya kufanya kazi na watu wa jinsia hii They wont regret... MAISHA BORA KWA BAADHI YA WATEULE