Mantissa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 876 Reaction score 166 Oct 29, 2010 #1 Jk kaulizwa swali kuhusu ahadi anazotoa kila sehemu itakuwa vipi? Jamaa anajibu kisanii kwamba inambidi tu aseme japo hayako kwenye ilani kutokana na mazingira. Duh, huyu ndiye eti rais
Jk kaulizwa swali kuhusu ahadi anazotoa kila sehemu itakuwa vipi? Jamaa anajibu kisanii kwamba inambidi tu aseme japo hayako kwenye ilani kutokana na mazingira. Duh, huyu ndiye eti rais