Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Crashwise @work big up....
Mkikosa cha kuandika huwa mnakurupuka ili mradi tu muonekane mmeandika? mnanini nyinyi?
Mbumbumbu tu huyu hana japo tone la hekima na busara!
Mbona Nyerere wakati wa vita ya kagera hakuwaficha nje wanae? Tena wengine alikubali waende front line kwenye vita!
kwani ni uongo!hana kid aliyekuwa st.Patric Arusha???Mkikosa cha kuandika huwa mnakurupuka ili mradi tu muonekane mmeandika? mnanini nyinyi?
kweli shule za kata zitabaki kua za wapiga kura wa magamba, inamaana hakuna hat mtoto mmoja wa mafisadi anae soma kwenye yale magodown?acha ****** n wezi wenzake wapeleke watoto zao kusoma nje ya nchi.Kama Rais kawatoa wanae ktk hiyo shule kinachowauma nyie nini? mnataja habari za ufisadi mara mbumbumbu mara hivi na vile! mbona mnakuwa wavivu wa kufikiri nyie?
Kuonyesha uzalendo zaidi angewapeleka shule za kata.Anao uhuru wa kumpeleka mwanae kokote, lakini kama rais anatakiwa kuwa mzalendo kwa kuwasomesha wanae hapa TZ.Uzalendo ni moja ya swala muhimu sana kuhusu maendeleo ya taifa lolote.
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Miji2 yenyewe ni ninyi!wenyewe kila day mnakabana huko!hata mimi ngoja nifate wakwangu akasome botswana mana wa2 wa pouda hamkawii kuwakaba watoto. Hamjapata urais mnatabu hvo.KIUKWEL MWISHO WA CDM Umekaribia. Kunadalili ya kuikata nch vipande vi nne au viwili. Chaga na Meru,christ n islam, na Tarime na Dar, au mnaonaje?
Naanza kumkubali JK ado ado!