Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria
naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria

kuchakachua lazima...lakini tatizo kura za slaa zimekuwa nyingi sana
Kwa matokeo haya wakichakachua kura zitazidi million 19 waliotudanganya ndo idadi ya voterz...!
Mkuu kwa ripoti zilizotufikia ni kwamba uchakachuaji ulikuwepo big time. ila bahati yao mbaya sehemu nyingi walikamatwa na sehemu nyingi kura zao za uchakachuaji hazikufikia kura za kweli.Naanza kumwamini jk. Kwa jinsi matokeo yanavyoenda, hakuna uchakachuaji! Bravo! Angalau wameshindwa hata kama walidhamiria
Songea mjini wanadai kwamba matokeo hadi kesho asubuhi. Nadhani hapa mawakala wawe makini sana ikiwezekana kulala yatakapohifadhiwa masanduku ya kura, vinginevyo mchezo utachezwa