Elections 2010 Jk alisema: HAKUNA WIZI WA KURA!

Wizi unafanyika wa kutisha na subiri wakati wa total utaijua CCM...Mijizi mikubwa.
 
Mkuu kwa ripoti zilizotufikia ni kwamba uchakachuaji ulikuwepo big time. ila bahati yao mbaya sehemu nyingi walikamatwa na sehemu nyingi kura zao za uchakachuaji hazikufikia kura za kweli.

sure mkuu. Ilibidi aseme hivyo kutokana na udhibiti uliozungumziwa
 
Regia mtema aka gender sensitive anaongoza moro!
 
JK kama yeye inawezekana kabisa kuwa hana mawazo ya kuchakachua ila wapambe ambao wanajua wazi kuwa anguko lake ni ukatikaji wa mirija yao kwenye buyu la ufisadi. Hawa wanaitwa die hard never sarrender on defeat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…