The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Mkuu sio haraka hivyo, joto lililopo sasa bado halitoshi kuivisha chakula, utawashangaa saana wapiga kura wa Tanzania pale matokeo ya vituo yatakapoanza kutolewa.
..........mshangao mwaka huu hautakuwepo kwa sababu inajulikana kuwa masanduku ya kura yatachezewa.
Leo hii hapa Arusha wafungwa walitokea barabara ya njiro kulekea mjini Katika Gari hilo wafungwa waliimba wimbo wao kwamba Dr Slaa achaguliwe na Lazima awe raisi na walikuwa wanaimba kwa nguvu zao wzote wameecha gumzo kubwa kwenye maeneo gari liliko pita
Kila mtu kachoka yuko taabani na huu utawala
Mimi nasubiri nione Kigoma itakavyokuwa kama Dubai na Mwanza kama Carlfornia
Nimekusoma!!!!??? wonder shall never end in Tanzania.