JK ameoa wake wangapi?

JK ameoa wake wangapi?

MovingForward

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
489
Reaction score
49
Rais Kikwete anasemekana kuwa na wake wengi, tena ikidaiwa ameoa kwa Rostam Aziz na kwa Zakia Meghji. Pia kuna uvumi kwamba anamke wa kizungu etc. Ninaomba mwenye kuweza kutudadavulia ukweli, aachilie hapa.
 
jk mwenyewe anaweza kusema ukweli!
 
Tunamfahamu mmoja, lakini amepata kujuana na wengi mno....!
 
of what use is this question? That is his personal life na kama inakubaliana na dini yake, inakuhusu nini ndugu? Sisi tuna issues nzito za kusaidia nchi yetu; let us stick to the focus
 
Rais Kikwete anasemekana kuwa na wake wengi, tena ikidaiwa ameoa kwa Rostam Aziz na kwa Zakia Meghji. Pia kuna uvumi kwamba anamke wa kizungu etc. Ninaomba mwenye kuweza kutudadavulia ukweli, aachilie hapa.

mengine yanawezekana ila kwa na mke mzungu hapana...atakuwa anaongeaje naye maana english yake mnaijua ...
 
of what use is this question? That is his personal life na kama inakubaliana na dini yake, inakuhusu nini ndugu? Sisi tuna issues nzito za kusaidia nchi yetu; let us stick to the focus

soma heading ya forum siyo heading ya thread. Ndipo uulize swali??????
 
of what use is this question? That is his personal life na kama inakubaliana na dini yake, inakuhusu nini ndugu? Sisi tuna issues nzito za kusaidia nchi yetu; let us stick to the focus

Umeona hii thread ipo under forum gani?
 
Back
Top Bottom