Hivi NEC na Tendwa mko wapi? JK amekuwa anagawa pesa huko Tunduma kwa wapiga kura kwa kisingizio cha kusaidia walemavu, je huku sio kununua kura za hao walemavu? Sheria ya gharama za uchaguzi inasemaje kuhusu ili? (Source: Raia Mwema, 8 - 14 Septemba, uk. 6 picha).

Mind your kiswahili! ushaidi, apo, aviwezi! Ni kwamba urudi darasani kwanza ndipo utaweza kufuzu lugha ya kiswahili na pia kujua uozo wa CCM!mwanamayu na raia mwema tunataka ushaidi na longolongo za magazeti upo apo vyombo vya dola aviwezi kufanya kazi kwa kufuata gazeti limeandka nini!we need evidence to take action!
Na wewe rudi darasani ukajifunze kunukuu na kuandika sentensi.Mind your kiswahili! ushaidi, apo, aviwezi! Ni kwamba urudi darasani kwanza ndipo utaweza kufuzu lugha ya kiswahili na pia kujua uozo wa CCM!