JK anaichezea amani ya ZNZ

a.9784

Senior Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
145
Reaction score
4
JK amesema amesikitishwa sana na wana CUF kujitoa katika muafaka wa kisiasa visiwani ZNZ.Hivi ni kauli ambayo President alistaili kuitoa katika hotuba yake ya jana?Mimi nauliza hivi hiyo kamati ya muafaka JK alikua haijui?Big Up hatua mliyoichukua CUF kwani inaonyesha ni jinsi gani mmekereka na hatua ya ccm.CCM ni wasanii kama JK alivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…