Elections 2010 JK anaumwa ahadism?

Miaka 5 yake ya mwisho, akimaliza atakuja mwana CCM mwengine nae atatoa
ahadi kwa miaka mingine 5. Who Cares!!!!
 
Mungu aingilie kati mara ngapi, Katupa uwezo wa kufikiri, kuona na kutambua, katupa macho na mikono, ss tunajipigia tu kura. tufikiri kwa kina na kufanya mabadiliko
 
hahahahaha
hahahahaha
nimecheka sana hapo kwenye bold
 
Inabidi hizi ahadi zote ziandikwe somewhere halafu kuelekea mwisho mwisho wa kampeni aulizwe vitu alivyoahidi na jinsi atakavyotekeleza hizo ahadi

Ndiyo sababu hataki mdahalo maana atashindwa kujieleza, mkwere kazoea siasa za jukwaani tu kupiga domo. Hivi kama alishindwa kutekeleza ahadi zake za 2005 na halafu asione aibu this time kuendelea kuahidi, hivi huyo kweli ni presidential material. Nafikiri Bongo tuna tatizo la political and management incompetance ndiyo maana akina JK wanaonekana ndiyo wenye uwezo wa kipeleka nchi kwenye asali na maziwa.

Oh God, jamaa hana hata aibu ya kuendelea kutoa ahadi za uongo. No wonder anaanguka kwa sababu ya kutudanganya.
 
hii ni zaidi ya ahadism,anaumwa ufisadism na tamaazim
 
kwani anaulizwaga maswali yule mkwere, unajua Kikwete ni msahahulifu sana, akitoka hapo hana moja. kuna ahadi aliahidi mwaka 2005 anaenda kule anaahidi tena, jamaa hapa mwanza walimtizama kwa vicheko, watafanyaje sasa ....
 
hahahahaha
hahahahaha
nimecheka sana hapo kwenye bold
JK aahidi vyandarua viwili kwa kila nyumba,
Ambulance (bajaj), 400 za kupeleka wanawake hospitalini wakiwa wanakaribia kujifungua
Kuongeza sijui bei ya viazi sijui kitu gani kwa wakulima.




Tendwa anatakiwe amchunguze just for "overAHIDIING"
Hivi hio hela itatoka wapi, alafu bajaj ilivyo rough ride mtoto anaweza akadeliver njiani. 😛layball:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…