Jk anaweza kukaa kimya mpaka 2013 hajateua kamati ya kuandika upya KATIBA

Jk anaweza kukaa kimya mpaka 2013 hajateua kamati ya kuandika upya KATIBA

Supervisor

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
559
Reaction score
208
Nina mashaka sana na uharaka wa mkwere wa kuteua 'kamati' yake ya uandikaji wa Katiba ambayo itaichimba kaburi la chama cha mafisidan.
 
Mambo yote yahusuyo michakato ya katiba si nimesikia wananchi wanasema ni kwa kupitia bunge ambayo ni kwa mwezi ujao au ni kumlaumu tu JK?
 
Back
Top Bottom