Supervisor JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 559 Reaction score 208 Jan 19, 2011 #1 Nina mashaka sana na uharaka wa mkwere wa kuteua 'kamati' yake ya uandikaji wa Katiba ambayo itaichimba kaburi la chama cha mafisidan.
Nina mashaka sana na uharaka wa mkwere wa kuteua 'kamati' yake ya uandikaji wa Katiba ambayo itaichimba kaburi la chama cha mafisidan.
Z ZenaTulivu Senior Member Joined Jan 1, 2011 Posts 137 Reaction score 4 Jan 19, 2011 #2 Mambo yote yahusuyo michakato ya katiba si nimesikia wananchi wanasema ni kwa kupitia bunge ambayo ni kwa mwezi ujao au ni kumlaumu tu JK?
Mambo yote yahusuyo michakato ya katiba si nimesikia wananchi wanasema ni kwa kupitia bunge ambayo ni kwa mwezi ujao au ni kumlaumu tu JK?