Tanzania haina katiba wala haifuati desturi, iliyopo ni viraka vitupu na rais akitaka kufanya uamuzi wowte anweka kiraka chake. Kama ingelikuwa desturi, ingebidi ateue mkristo kuwa waziri mkuu, lakini kwa kuwa hata yeye na Mkapa walipochaguliwa kwa mara ya kwanza ile desturi ya kupishana urais kati ya TZBara na TZ ZNZ iliwekwa upande. Kwa ufupi, anaweza kufanya atakavyo kwa sababu uamuzi wowote ataotoa haumo katika katiba.