Baada ya siku mbili kurejea kutoka kwenye mazishi ya Levy Mwanawasa......Rais wetu JK amepaa tena jana jioni kwa ndege ya serikali kwenda kwa Mfalme Mswati-Swaziland kuhudhulia sherehe za uhuru wa nchi hiyo pamoja na Birthday ya mfalme huyo ambaye anatimiza miaka 40 wao wanaita ni 40-40.Ambazo zitaligharimu taifa hilo $40 milion
Imethibitishwa kuwa akitoka huko anaunga moja kwa moja kwenye mkutano wa nchi za Afrika ...................
Whats new here? hizi ni routine za kawaida za rais mna sensationalize mambo tu...
..... Miye safari iliyonishangaza na kunighafirisha ni ile ya kwenda Marekani kujiombeleza dolla millioni 20 na kuanzisha mazungumzo eti ya kuendeleza mpira wa kikapu. Absolutely infuriating.
Mkuu angalia gharama zinazo tumika watu wanalipwa kwa night wanapo kuwa na mkuu bado gharama za hotel na mambo mengine na mlolongo mrefu wa wapambe wanao ambatana na rais pamoja na wake zao.....
Kwani kuna kukata utepe kwenye sherehe za siku ya kuzaliwa?...tunaye makamu wa rais naye kwani hawezi kumwakilisha kwenye shughuli kama hii ya Swaziland?
Aaah kama mtanashati anataka lake liwe litakuwa tu....Mai waifu wake atapewa kituo kimoja cha watoto yatima akatembelee wakati mtanashati anavinjari. Hicho wala sio kikwazo kabisaa.........muhimu: kama anaenda uswazi, watu wa protokali hakikisheni tu anaenda na mkewe maana huko ni noma noma tu.... handsomeboy na big smile yake hachelewi kutunikiwa ati!!
....ebanaeeee!! ila namwonea donge true true miye.... maana 'vinyonyesho' atakavyo kumbana navyo vitakuwa vya kila aina....hadi vile vya rangi ya binzari eti..... udenda lazima umtoke, tuombee mfungo mwema umnusuru tu!! 😀Aaah kama mtanashati anataka lake liwe litakuwa tu....Mai waifu wake atapewa kituo kimoja cha watoto yatima akatembelee wakati mtanashati anavinjari. Hicho wala sio kikwazo kabisaa.....
kwa hiyo unachotaka kusema ni kwamba kama watoto wako hawajui watakula nini jioni au mke wako hana hela za kulipia hospitali wewe utachukua tuu pesa na kulipa nauli ya daladala kwenda kwenye harusi au arobaini ya watu wengine???? kama hivyo ndivyo unavyomaanisha basi sina la kusema dhidi tuu ya kukubali kwamba watu tuna uwezo tofauti na siwezi kukulaumu kwa hilo kwani kwani hauwezi kufikiria juu ya hapo na hakuna kitu kinachoweza kufanyika zaidi ya kukuacha kama ulivyo.....Kwa hiyo unataka Rais ajifungie ndani kwa kuwa akienda nje kuna gharama za Hotel? International relations ni integral part katika maendeleo ya nchi yeyote. Chukulia mfano mdogo tu wa household. Hivi wewe katika familia yenu kukiwa na sherehe za harusi, kipaimara, arobaini etc utasema huendi kwa kuwa kuna gharama za kupanda mabasi nk?
Halafu anarudi tena US, after all this!