JK apangua makatibu wakuu

...understood,na ukifanya utafiti utagundua kuwa pamoja na mapungufu ya utawala wa BWM alijitahidi sana kupanga W.mikoa,Mawaziri,kulingana na taaluma au ozoefu binafsi wa muhusika.
Mfano:nakumbuka Prof.sarungi alipokuwa RC Pwani, alisaidia sana ilipobidi ktk upasuaji pale Hospitali ya Tumbi zilipotokea ajali ktk barabara ya Morogoro.

-sayansi(engineer)Mwandosya
-Mambo ya Nje(Tourist)JK
-Ujenzi(engineer)Pombe
-Fedha(Wachumi)....,.....keko
-Elimu(Prof.)Kapuya
-RC Dar(Kiranja)Yusufu
-Siasa(P.Scntst.)Mwiruu
-IGP(the beast)Mhitta
-sheria(lawyer)Mzee wa mitemba
'nd on...and on....
My take:Ukishakuwa na System chafu/mbovu,hata uweke Wanazuoni,watu safi namna gani bado watu hao watanuka uchafu tu na kuonekana watendaji wabovu tu!!
 
My take:Ukishakuwa na System chafu/mbovu,hata uweke Wanazuoni,watu safi namna gani bado watu hao watanuka uchafu tu na kuonekana watendaji wabovu tu!!

Unaonaje tumshauri muungwana ateue watu wasiojulikana kabisa ili iwe vigumu kuwahusisha na uchafu uliopo hivi sasa?
 

Pombe ni engineer??!!
 
Unaonaje tumshauri muungwana ateue watu wasiojulikana kabisa ili iwe vigumu kuwahusisha na uchafu uliopo hivi sasa?
Mhh!!Mkuu si unajionea mwenyewe yanayomkuta Dr. hapo??Mwanazuoni safi kabisa,wengi hatukumfahamu kisiasa hadi alipoteuliwa na BWM,lakini kaishia kupewa jina la 'Mzee wa Mikasi',ni mtu safi lakini yu-katika system mbovu mkuu!!!
 

shukurani kwa maelezo yako.
 
Hivi ni lini tutaanza kuuliza hawa watendaji wakuu wa wizara zetu wamefanyia nini taifa badala ya kuwasifia kwa kuwatendea mema walio chini yao, urafiki wao kwetu, kuto ogopa wakubwa zao na kuvujisha taarifa kwa siri? Ni lini tutaweza kuwasifia kuwa katika utendaji wao wameleta tofauti katika maisha ya mtanzania wa kawaida na si tu hao alio karibu nao? Au ni kwa sababu hakuna effect yeyote katika maisha ya mtu wa kawaida ndiyo maana wanaweza kucheza mchezo wa musical chairs bila athari yeyote?
 
Huyu ni kati ya watu waliotetea kufa na kupona kampuni ya NETGROUP. Kumwita ni fighter au mtu wa maadili ni kumwonea, kwa sababu siyo! Kwa vigezo pana vya ufisadi, huyu hawezi kukwepa.

By the way, how is this news "breaking"?

Kaka ina maana mtu ukisimama na kutetea kile unachoamini ni sawa umeshakuwa FISADI?

Tanzanianjema
 

Moja ya tatizo kubwa la baadhi ya vigogo wa CHADEMA ni kutokuwa na umakini na busara za kutosha katika mashambulizi yao ya kisiasa. Kuna watu wengine walitajwa kama ni mafisadi wakati uwepo wao katika hivyo viitwavyo vitendo vya kifisadi umekuja kutokana na nafasi zao kiutendaji. Na kwa kutambua mfumo wa utendaji wa serikali yetu na zinginezo zenye kugubikwa na utamaduni wa rushwa na ufisadi kama Tanzania yetu ni wazi kuwa baadhi yao wanaonewa.

Tanzanianjema
 
Last edited by a moderator:
- Another kichwa, saafi sana maana huko Afya kumeoza sana, kunahitaji kusafishwa. na huyu atawasafisha wawe clean.

Hapa kaka ninatofautiana nawe kidogo. Maana huko alipokuwa enzi za Brother BEN kukifumuka itakuwa issue.....

Tanzanianjema
 
Hapa kaka ninatofautiana nawe kidogo. Maana huko alipokuwa enzi za Brother BEN kukifumuka itakuwa issue.....

- Hapana labda uyaweke wazi hapa tujue, huyu mama amesoma Canada, akaingia USAID, akapata kazi World Bank, lakini kabla hajaenda serikali ya mkapa kwa niaba ya taifa letu ikamuomba ashike nafasi ya Audit General wa serikali yetu,

- Moja ya kazi nzito aliyoifanya ni pamoja na kuwaumbua mabalozi wetu wa Italia, Malawi, na Zambia, ambao waliishia kufukuzwa kazi na kustaafishwa kwa lazima na kulazimishwa kuilipa serikali back hela walizoiba, mwingine yupo mahakamani sasa hivi.

- Kutoka hapo akahamia ukatibu mkuu Maliasili na utalii, na sasa Afya, unasema anao uchafu wake hebu uuweke hapa mkuu tuujue, maana hapa ni JF where we dare au? Maana huyu mama alikuwa akiinmgia ofisi yoyote ya serikali kufanya ukaguzi baadhi ya watu walikuwa wakikimbia hata kabla hajamaliza ukaguzi unasema kuwa na yeye ni mchafu? Weka hapa mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…