JK apata PhD ya International Relations

 
Tumaini ,ushoga tanzania uko coast ,kwenye watu wa aina yako


Mkuu,

Sasa hapa unatukana watu wengi,kuwa makini mkuu.plz achaneni na matusi..turejee kwenye hoja.JK kapewa PhD huko Turkey.kutoka nje ya mada kunaashiria kuwa kiwango cha taaluma Tanzania kilianza kushuka zamani sana kumbe.Plz let us be carefully,tujadili mada wakuu.Salute!!!
 
Duh,wakuu sasa hii thread ina rangi nyingi.lol...watanzania wengine bwana..duh!
 
Nadhani huyu wa kwetu kapewa hii kwasababu ya kupenda kwake kutalii. Hawa washauri wake kwanini wasimwambie aende Serengeti badala ya kuzurura nje. Nyie ngojeni mtasikia akirudy tu anakwenda kwa Zuma. Kama anatafuta uhusiano mzuri na nchi za nje si aende Faruja au Somalia?
 
Nimemwona Lyatonga na jamaa mwingine mmoja kupitia TBC 1 leo asubuhi.Wawili hawa wamejitambulisha kama mabalozi wa amani(amani forum).Kwakweli wameongea kishabiki kwelikweli,huku wakirusha madongo kwa MNF na wote wanaokomalia hoja za ufisadi.Kwa kusema kuwa wanachochea vurugu zitakazotuvurugia amani na utulivu wetu.Wamemsifia JK kiuwazi kabisa.Poor Mrema!
Kisha wakaenda mbele zaidi na kuipaisha Phd ya JK kuwa uturuki wamekuwa wakifuatilia utendaji wa JK akiwa wizara ya mambo ya nje ktk kuhakikisha usalama na amani kwenye eneo la maziwa makuu,ndio maana akapewa Phd hiyo...Na mengine meeeengi,ambayo for sure they spoilt ma day!
 
PhD bila shule (thesis) ni sawa na compyuta bila operating system.
Before international relations let us think about internal relations!! kamua baba nchi bado mbichi. "amesegnalehu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…