Jamani kupiga magoti sio utumimwa ni mila na desturi za kiafrika hapo sijaona kosa lolote sikuzote mwanami ni kichwa cha nyumba usilete mambo ambayo hayajengi nampongeza sana huyu mama upo juuuuuuuuuuuuuuu
''Huku malawi hiyo kawaida tu watu wa huku wananidhamu ya owoga kwale huku hata mfanyakazi hawezi kuongea na boss wake akiwa amesimama hata boss wake awe mdogo ndo walivyo watu wa huku!'' Hiyo ni sawa tunadumisha mila na desturi